top of page

KILIA…  CHOCHEA UAMSHO WAKO BINAFSI!!

Pointi za Maombi:

TUOMBE -  Wakolosai 2:2, 4-10 NKJV

 

Kama tulivyompokea Kristo Yesu Bwana, Tuombe

 

🙏Basi enendeni katika yeye, wenye shina na wenye kujengwa ndani yake, mmefanywa imara katika imani, kama tulivyofundishwa, mkizidi kutoa shukrani.

 

🙏 Endeleeni kuota mizizi chini - kuwa na mizizi katika neno la Mungu na kwa Yesu Kristo, na kuzaa matunda juu;

 

🙏 Kwa mioyo yetu na tuunganishwe pamoja katika neno la Mungu na kuufikia utajiri wa hakika kamili ya ufahamu na maarifa ya maneno ya Baba na ya Kristo;

 

🙏Angalieni mtu asije akatudanganya kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.

bottom of page